Maelezo ya mgahawa
Mgahawa wetu unahakikisha tunakuserve chakula kitamu, chenye ladha ya kipekee na ambacho kimeandaliwa kwa usafi wa hali ya juu
Fresh from the Grill , yaani hatuna chakula kilochokaaa Ikauzwa
Ni from the grill to your plate
Karibuni sana
Bbq fast food




