Maelezo ya mgahawa
jumatatu - jumamosi : 10am - 11pm
jumapili: 12pm - 11pm
Tuna pika kwa oda, harakati menu, inatia moyo
kuna michezo vya meza wakati una subiri chakula
kuna wifi, kuna sehemu tulivu inayo tia moyo
Karibu Dodoma
Karibu KS GRILL HOUSE
kukuwingsnyama mishkakinundusteak na Tbonembuzisamakiwaliugalimihogochipschipsyaiburgerspizzashawarma.




